an online Instagram web viewer
  • mage_mtemi
    LADY WITH CHRIST
    @mage_mtemi

Images by mage_mtemi

Mithali 31:29-30
29 Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
30  Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.❤
#KumchaBwananibarakanandionjiayauzimawamilele
Mithali 31:29-30 29 Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. 30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.❤ #KumchaBwananibarakanandionjiayauzimawamilele 
Mhubiri:11.9
Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na katika maono ya macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni. 
Yesu akabariki weekend yako ikawe njema.Barikiwa mpendwa👍
Mhubiri:11.9 Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na katika maono ya macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni. Yesu akabariki weekend yako ikawe njema.Barikiwa mpendwa👍
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana Katika nchi ya walio hai.

Zaburi 27:13

Yesu akaonekane katika Jpil yako ya Leo na akakubariki sawa sawa na mapenzi yake.
Barikiwa sana!
#madam197
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana Katika nchi ya walio hai. Zaburi 27:13 Yesu akaonekane katika Jpil yako ya Leo na akakubariki sawa sawa na mapenzi yake. Barikiwa sana! #madam197 
Hakuna mwalimu mzuri Duniani kama mama. Anafundisha kwa vitendo kwanzia nyenendo mpaka tabia. Usipo mwelewa mama kwenye mafundisho yake, hata ulimwengu hauta kuelewa.Mama ndiye mwalimu wa kwanza na wa mwisho ktk maisha yako...!!Mwenyezi Mungu wajaaliwe maisha marefu mama zetu.
#nakupendamama
Hakuna mwalimu mzuri Duniani kama mama. Anafundisha kwa vitendo kwanzia nyenendo mpaka tabia. Usipo mwelewa mama kwenye mafundisho yake, hata ulimwengu hauta kuelewa.Mama ndiye mwalimu wa kwanza na wa mwisho ktk maisha yako...!!Mwenyezi Mungu wajaaliwe maisha marefu mama zetu. #nakupendamama 
SIFA ya Mwanamke ni kujitunza na kuutunza MWILI WAKE.

MWANAMKE anaeuthamini mwili wake na kuupenda kamwe huwezi kumuona anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume zaidi ya mmoja kwasababu lazima awe na kinyaa.

Ukikuta mwanamke anamahusiano na mwanaume zaidi ya mmoja basi huyo sio mwanamke bali ni bidhaa,kwahiyo anatakiwa akalipe kodi kulingana na ukubwa wa bidhaa aliyonayo na wingi wa wateja anaowauzia ili achangie pato la nchi.
#mybirthdayweek
#birthdaysoon
SIFA ya Mwanamke ni kujitunza na kuutunza MWILI WAKE. MWANAMKE anaeuthamini mwili wake na kuupenda kamwe huwezi kumuona anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume zaidi ya mmoja kwasababu lazima awe na kinyaa. Ukikuta mwanamke anamahusiano na mwanaume zaidi ya mmoja basi huyo sio mwanamke bali ni bidhaa,kwahiyo anatakiwa akalipe kodi kulingana na ukubwa wa bidhaa aliyonayo na wingi wa wateja anaowauzia ili achangie pato la nchi. #mybirthdayweek  #birthdaysoon 
''Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe''. Zaburi 16:1

Muwe na jumapili njema wapendwa.
''Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe''. Zaburi 16:1 Muwe na jumapili njema wapendwa.
Kadri unavyozidi yajenga maisha yako katika msingi wa uongo na utapeli juu ya wengine, ndivyo unavyozidi kujiongezea gharama za kuutafuta ukweli. 
Wengi tunaogopa kuishi katika UKweli kutokana na gharama ambazo tayari tumezikusanya kupitia uongo na utapeli wa kila aina .

Kila siku mpya Mungu anayotupa ni fursa mpya kusahihisha makosa yetu kimwili na kiroho, fursa ya kuombana msamaha , kuitafuta toba mbele za Mungu na kuanzisha mfumo mpya wa maisha yenye amani na Upendo mkubwa .Mungu akakubariki kwa kila utakalo lifanya cku ya leo na akumiminie baraka sawa sawa na mapenzi yake.
Ubarikiwe!
#blessup
Kadri unavyozidi yajenga maisha yako katika msingi wa uongo na utapeli juu ya wengine, ndivyo unavyozidi kujiongezea gharama za kuutafuta ukweli. Wengi tunaogopa kuishi katika UKweli kutokana na gharama ambazo tayari tumezikusanya kupitia uongo na utapeli wa kila aina . Kila siku mpya Mungu anayotupa ni fursa mpya kusahihisha makosa yetu kimwili na kiroho, fursa ya kuombana msamaha , kuitafuta toba mbele za Mungu na kuanzisha mfumo mpya wa maisha yenye amani na Upendo mkubwa .Mungu akakubariki kwa kila utakalo lifanya cku ya leo na akumiminie baraka sawa sawa na mapenzi yake. Ubarikiwe! #blessup 
Verse of the Day 
Mambo ya Walawi 19:18
Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi Bwana.

Kuwa na uchungu na kudumisha chuki ni kazi ya kuteketeza. Inaacha nguvu ndogo ya kuwabariki wengine, kumsifu Mungu, au kufurahia maisha. Njia pekee ya kutoa moyo wa uchungu kwa wengine ni kuwapenda kikamilifu na kuwahudumia kwa njia ambazo hubariki maisha yao. Ikiwa hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu ni vigumu kujisikia kama ni jambo la haki ya kufanya, tunafanya kwa sababu tunamjua Mungu na tunataka kumpendeza!
#blessup🙌
Verse of the Day Mambo ya Walawi 19:18 Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi Bwana. Kuwa na uchungu na kudumisha chuki ni kazi ya kuteketeza. Inaacha nguvu ndogo ya kuwabariki wengine, kumsifu Mungu, au kufurahia maisha. Njia pekee ya kutoa moyo wa uchungu kwa wengine ni kuwapenda kikamilifu na kuwahudumia kwa njia ambazo hubariki maisha yao. Ikiwa hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu ni vigumu kujisikia kama ni jambo la haki ya kufanya, tunafanya kwa sababu tunamjua Mungu na tunataka kumpendeza! #blessup 🙌
TUJIFUNZE LEO JUMAPILI

Nafahamu, Muda mwingine unahisi kukata Tamaa. Kila siku iitwayo mpya huoni mabadiliko yoyote katika maisha hako. Matatizo yanazidi kukuumiza na hofu inazidi kutamalaki! Unajishangaa kwanini yote haya yanakutokea wewe!

Unabaki unajiuliza, kwanini mimi sina bahati kama wengine? Unamuomba Mungu lakini mpaka sasa hakuna mabadiliko. Sasa umeanza kupoteza matumaini.

Unaanza kujihisi labda wewe ulizaliwa kwa ajili ya matatizo na matatizo yapo kwa ajili yako!

Lakini kuna kitu nataka nikwambie rafiki yangu, hujazaliwa uwe hivyo siku zote za maisha yako. Sawa, Mungu yuko kimya, ila nakuhakikishia anakutizama kwa ukaribu usiku na mchana. Anasikiliza kilio chako na maombi yako na analo jambo special kwa ajili yako.

Uwe na moyo wa ujasiri, focus kwenye kazi zako za kila siku na usikate tamaa kumuita Mungu. Kumbuka, hauko peke yako katika hali yako ngumu, sisi wote hata mimi tumo kwenye jahazi moja. Ila ninachokijua ni kwamba Kama sio leo basi kesho. Hivyo, usikate tamaa rafiki yangu. Maana kutokukata tamaa Ndio Imani.

Nakushauri Mshukuru Mungu kwa kila jambo, anza upya na usiache chembe ya chuki wala majonzi, safisha moyo wako na ubongo wako. Wasamehe wote walio kukwaza. Maana Mafanikio yanatokea sehemu yenye amani na upendo. Faraja ya binadamu ni udhaifu wake..,' Nakutakia mwanzo mwema kuanzia leo usilie tena kwa sababu ya maisha unayopitia maana hayajakusaidia bali yanakuongezea uchungu ila Mlilie Mungu wa Mbinguni yeye Pekee atakufuta machozi hayo.

Naamini umenielewa

Nakutakia siku njema.
TUJIFUNZE LEO JUMAPILI Nafahamu, Muda mwingine unahisi kukata Tamaa. Kila siku iitwayo mpya huoni mabadiliko yoyote katika maisha hako. Matatizo yanazidi kukuumiza na hofu inazidi kutamalaki! Unajishangaa kwanini yote haya yanakutokea wewe! Unabaki unajiuliza, kwanini mimi sina bahati kama wengine? Unamuomba Mungu lakini mpaka sasa hakuna mabadiliko. Sasa umeanza kupoteza matumaini. Unaanza kujihisi labda wewe ulizaliwa kwa ajili ya matatizo na matatizo yapo kwa ajili yako! Lakini kuna kitu nataka nikwambie rafiki yangu, hujazaliwa uwe hivyo siku zote za maisha yako. Sawa, Mungu yuko kimya, ila nakuhakikishia anakutizama kwa ukaribu usiku na mchana. Anasikiliza kilio chako na maombi yako na analo jambo special kwa ajili yako. Uwe na moyo wa ujasiri, focus kwenye kazi zako za kila siku na usikate tamaa kumuita Mungu. Kumbuka, hauko peke yako katika hali yako ngumu, sisi wote hata mimi tumo kwenye jahazi moja. Ila ninachokijua ni kwamba Kama sio leo basi kesho. Hivyo, usikate tamaa rafiki yangu. Maana kutokukata tamaa Ndio Imani. Nakushauri Mshukuru Mungu kwa kila jambo, anza upya na usiache chembe ya chuki wala majonzi, safisha moyo wako na ubongo wako. Wasamehe wote walio kukwaza. Maana Mafanikio yanatokea sehemu yenye amani na upendo. Faraja ya binadamu ni udhaifu wake..,' Nakutakia mwanzo mwema kuanzia leo usilie tena kwa sababu ya maisha unayopitia maana hayajakusaidia bali yanakuongezea uchungu ila Mlilie Mungu wa Mbinguni yeye Pekee atakufuta machozi hayo. Naamini umenielewa Nakutakia siku njema.
My hero continue to rest in eternal peace Dady.I miss you so much.

Happy father's day Dady😘
My hero continue to rest in eternal peace Dady.I miss you so much. Happy father's day Dady😘
💯💯
💯💯
Huyu ni mimi kabisaaaa,mzuka kama woteee
Huyu ni mimi kabisaaaa,mzuka kama woteee
Amen🙏🙏
Good night
@makau__ 
@mrs_omog28 
@masanja5905 
@jasminmartin903
Amen🙏🙏 Good night @makau__ @mrs_omog28 @masanja5905 @jasminmartin903
Prayer is the most powerful weapon against downfall, the most effective medicine against sickness and the most valuable gift to people we care...!!
Have a blessed Sunday..!!
Prayer is the most powerful weapon against downfall, the most effective medicine against sickness and the most valuable gift to people we care...!! Have a blessed Sunday..!!