an online Instagram web viewer
 • efmtanzania
  Muziki Unaongea
  @efmtanzania

Images by efmtanzania

Hii ni kwaniaba ya 95.5 Efm Morogoro. Wana wa #Genge Tunapenda kutuma salamu kwa @mkudesimbaoriginal na #Bwakila popote walipo..Hodiii Apooooo!!! #Singelitwist #Wakienyeji Cc. @samio_love @officiallyfido @mamakengeofficial @timba_mtu_mbaya
Hii ni kwaniaba ya 95.5 Efm Morogoro. Wana wa #Genge  Tunapenda kutuma salamu kwa @mkudesimbaoriginal na #Bwakila  popote walipo..Hodiii Apooooo!!! #Singelitwist  #Wakienyeji  Cc. @samio_love @officiallyfido @mamakengeofficial @timba_mtu_mbaya
Regrann from @kitengemaulid - Sasa tumeanza kupima kitoweo huko nyumbani na miye wacha nipime nione ana futi ngapi.... #tuvituvitu
Regrann from @kitengemaulid - Sasa tumeanza kupima kitoweo huko nyumbani na miye wacha nipime nione ana futi ngapi.... #tuvituvitu 
Canada imepitisha sheria ya kuhalalisha bangi kwa matumizi ya starehe. Sheria hiyo mpya (The Cannabis Act) imepita katika Seneti kwa kura 52-29 na inaifanya Canada kuwa nchi ya pili duniani kufanya hivyo. Bangi huenda ikaanza kupatikana madukani kuanzia Septemba 2018
Canada imepitisha sheria ya kuhalalisha bangi kwa matumizi ya starehe. Sheria hiyo mpya (The Cannabis Act) imepita katika Seneti kwa kura 52-29 na inaifanya Canada kuwa nchi ya pili duniani kufanya hivyo. Bangi huenda ikaanza kupatikana madukani kuanzia Septemba 2018
'Movement' zinaendelea #Ladhani
@mbotohajiog Anasema "kitukinachoniuzi ni kuunganishwa kwenye magroup ya Whatsapp bila kupewa taarifa, kitu kingine nikiweka kitu kwenye Status utasikia nitumie hiyo ni tumi hiyo ng'oong'oooooo!!"😂😂😂 .
.
.
Mtag mtu ambae kila group yupo na kila Ukiweka kitu lazima akwambie Nitumie.. #Uhondo Cc. @dinamarious @swebbesantana
@mbotohajiog Anasema "kitukinachoniuzi ni kuunganishwa kwenye magroup ya Whatsapp bila kupewa taarifa, kitu kingine nikiweka kitu kwenye Status utasikia nitumie hiyo ni tumi hiyo ng'oong'oooooo!!"😂😂😂 . . . Mtag mtu ambae kila group yupo na kila Ukiweka kitu lazima akwambie Nitumie.. #Uhondo  Cc. @dinamarious @swebbesantana
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo Jumatano, Juni 20, 2018 ameliomba radhi Bunge kwa kitendo cha maofisa wa wizara yake kuingia kwenye mgahawa wa Bunge jijini Dodoma 92.5 na kupima kwa rula samaki waliopikwa kwa ajili ya kitoweo
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo Jumatano, Juni 20, 2018 ameliomba radhi Bunge kwa kitendo cha maofisa wa wizara yake kuingia kwenye mgahawa wa Bunge jijini Dodoma 92.5 na kupima kwa rula samaki waliopikwa kwa ajili ya kitoweo
Regrann from @tvetanzania - Muziki ni tiba ya usingizi wakati wa usiku? Hilo ndilo swali ambalo wataalamu
wengi huhangaika kupata majibu. Hata hivyo wakati juhudi za kutafuta tiba
kwa wanaokosa usingizi usiku zikiendelea kupitia tafiti mbalimbali, Leo
tunakusogezea ushahidi wa kisayansi kuwa, Muziki husaidia kupunguza tatizo
hilo.

Kwa mujibu wa utafiti, mtu asiyepata usingizi baada ya kupima afya yake na
kuonekana hana tatizo lolote la kiafya, anashauriwa kutumia muda mwingi
usiku kusikiliza muziki laini ili mishipa ya fahamu ifanye kazi vizuri.

Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Tubigeng cha Ujerumani, umeonesha
kuwa muziki wa taratibu ni msaada wa kuongeza uwezekano wa mtu kupata
usingizi. Imeelezwa kuwa muziki husaidia kumfanya mtu anayetaka kulala
kuimarisha kumbukumbu zake.

Kiongozi wa utafiti huo Dr. Jan Born anasema mtu anayesikiliza muziki wa
aina hiyo hupata usingizi kwa urahisi tofauti na msikilizaji wa miziki mingine,
hasa ile ya Hip Hop. Mtaalamu huyo anasema muziki huo huingia taratibu
katika mishipa myembamba ya ubongo ambayo husaidia kufanya mwili wa
binadamu na kupumzika kwa urahisi, hivyo kumrahisisha kulala.

Dr. Jan Born ameeleza kuwa Ubongo wa binadamu una mishipa isiyohitaji
kelele ambayo hufurahi pale inaposikia sauti nyembamba au laini. Mishipa
hiyo ndiyo huratibu mfumo mzima wa utulivu wa fahamu na wakati huo huo
kurahisisha mawasiliano kati ya sehemu moja na nyingine ndani ya mwili
katika mzaingira na hali ya utulivu, ili kuvifanya viungo muhimu vipumzike.

#EdigitalTips - #regrann
Regrann from @tvetanzania - Muziki ni tiba ya usingizi wakati wa usiku? Hilo ndilo swali ambalo wataalamu wengi huhangaika kupata majibu. Hata hivyo wakati juhudi za kutafuta tiba kwa wanaokosa usingizi usiku zikiendelea kupitia tafiti mbalimbali, Leo tunakusogezea ushahidi wa kisayansi kuwa, Muziki husaidia kupunguza tatizo hilo. Kwa mujibu wa utafiti, mtu asiyepata usingizi baada ya kupima afya yake na kuonekana hana tatizo lolote la kiafya, anashauriwa kutumia muda mwingi usiku kusikiliza muziki laini ili mishipa ya fahamu ifanye kazi vizuri. Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Tubigeng cha Ujerumani, umeonesha kuwa muziki wa taratibu ni msaada wa kuongeza uwezekano wa mtu kupata usingizi. Imeelezwa kuwa muziki husaidia kumfanya mtu anayetaka kulala kuimarisha kumbukumbu zake. Kiongozi wa utafiti huo Dr. Jan Born anasema mtu anayesikiliza muziki wa aina hiyo hupata usingizi kwa urahisi tofauti na msikilizaji wa miziki mingine, hasa ile ya Hip Hop. Mtaalamu huyo anasema muziki huo huingia taratibu katika mishipa myembamba ya ubongo ambayo husaidia kufanya mwili wa binadamu na kupumzika kwa urahisi, hivyo kumrahisisha kulala. Dr. Jan Born ameeleza kuwa Ubongo wa binadamu una mishipa isiyohitaji kelele ambayo hufurahi pale inaposikia sauti nyembamba au laini. Mishipa hiyo ndiyo huratibu mfumo mzima wa utulivu wa fahamu na wakati huo huo kurahisisha mawasiliano kati ya sehemu moja na nyingine ndani ya mwili katika mzaingira na hali ya utulivu, ili kuvifanya viungo muhimu vipumzike. #EdigitalTips  - #regrann 
Marekani imejitoa katika baraza la haki za binaadamu la Umoja wa Mataifa na kulitaja kuwa na 'unafiki wa kisiasa na lenye upendeleo'

Kuna Ukweli wowote kwa hichi Walichokisema Wamarekani ??
Marekani imejitoa katika baraza la haki za binaadamu la Umoja wa Mataifa na kulitaja kuwa na 'unafiki wa kisiasa na lenye upendeleo' Kuna Ukweli wowote kwa hichi Walichokisema Wamarekani ??
Regrann from @tvetanzania - 😂😂😂Tafadhali tuwatag ndugu zetu hapa, Dk Shika ametoa shavu la ajira kupitia viwanda vyake 30

#OnTheStreetTvE Cc @kwacheeofficial
Regrann from @tvetanzania - 😂😂😂Tafadhali tuwatag ndugu zetu hapa, Dk Shika ametoa shavu la ajira kupitia viwanda vyake 30 #OnTheStreetTvE  Cc @kwacheeofficial
Tunaeleka Mwisho wa #Msafirikafiri na @rais_wa_bogoss_musica_ Anatuelezea Baada ya kuanzisha bendi wakakutana na Mshindani wao mkubwa Bendi ya Diamond Music Wakandaa tamasha ikawaje Msikilize. #JotoLaAsubuhi Cc. @geraldhando @musakipanya
Tunaeleka Mwisho wa #Msafirikafiri  na @rais_wa_bogoss_musica_ Anatuelezea Baada ya kuanzisha bendi wakakutana na Mshindani wao mkubwa Bendi ya Diamond Music Wakandaa tamasha ikawaje Msikilize. #JotoLaAsubuhi  Cc. @geraldhando @musakipanya
JE UNAKIFAHAMU KIJIJI CHA WAUZA FIGO?
Kuna hii ya kuifahamu kuhusu Kijiji cha Hokse nchini Nepal
kimebatizwa jina jipya la ‘Kidney Village’ baada ya Watu karibia
wote wanaoishi kwenye kijiji hicho kuwa wameuza Figo zao.
.
.
.
Inadaiwa kuwa Wakazi wa Kijiji hicho hali zao za kiuchumi ni duni sana kitu kinachowasukuma kuingia katika biashara ya kuuza Figo zao ili wapate fedha za kujikimu mahitaji yao. .
.
Mkazi mmoja aliyetambulika kwa jina la Geeta mwenye miaka 37 alisema kuwa yeye na Mume wake walisafiri mpaka kwenye Hospitali moja huko nchini India ili kutolewa Figo zao na kulipwa zaidi ya shilingi Milioni 3 za Kitanzania.
.
.
Aidha familia hiyo ilitumia fedha hizo kununua kiwanja na kujenga
nyumba yao na isivyo bahati nyumba hiyo iliangushwa na tetemeko la ardhi lililotokea kijijini hapo.
.
.
Kwa upande mwingine madalali wanaofanya biashara hiyo ya figo wametajwa kuzunguka sana katika kijiji hicho na kuwashawishi Wanakijiji hao kuuza Figo zao. #MokoMoko #BBCswahili Cc. @irenekillenga
JE UNAKIFAHAMU KIJIJI CHA WAUZA FIGO? Kuna hii ya kuifahamu kuhusu Kijiji cha Hokse nchini Nepal kimebatizwa jina jipya la ‘Kidney Village’ baada ya Watu karibia wote wanaoishi kwenye kijiji hicho kuwa wameuza Figo zao. . . . Inadaiwa kuwa Wakazi wa Kijiji hicho hali zao za kiuchumi ni duni sana kitu kinachowasukuma kuingia katika biashara ya kuuza Figo zao ili wapate fedha za kujikimu mahitaji yao. . . Mkazi mmoja aliyetambulika kwa jina la Geeta mwenye miaka 37 alisema kuwa yeye na Mume wake walisafiri mpaka kwenye Hospitali moja huko nchini India ili kutolewa Figo zao na kulipwa zaidi ya shilingi Milioni 3 za Kitanzania. . . Aidha familia hiyo ilitumia fedha hizo kununua kiwanja na kujenga nyumba yao na isivyo bahati nyumba hiyo iliangushwa na tetemeko la ardhi lililotokea kijijini hapo. . . Kwa upande mwingine madalali wanaofanya biashara hiyo ya figo wametajwa kuzunguka sana katika kijiji hicho na kuwashawishi Wanakijiji hao kuuza Figo zao. #MokoMoko  #BBCswahili  Cc. @irenekillenga